• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Wasimamizi, Waratibu na Wajumbe wa Kamati za huduma ya mikopo kwa ngazi ya Kata, Halmashauri na Wilaya wajengewa uwezo kusimamia utoaji wa Mikopo ya Asilimia 10

Posted on: October 4th, 2024

Mkurugunzi wa Jiji la Dar es Salaam Ndg. Elihuruma Mabelya emeeleza kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inatekeleza agizo la Serikali la kuhakikisha  wasimamizi, waratibu na wajumbe wa Kamati za huduma ya mikopo kuanzia ngazi ya Kata, Halmashauri na Wilaya wanapatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo katika utoaji na usimamizi wa mikopo kwa kutumia mfumo mpya.

Ndg. Mabelya ameyasema hayo leo Oktoba 04, 2014 wakati wa ufunguzi wa mafunzo yaWajumbe wa Kamati za Huduma za mikopo ngazi ya Kata, Halmashuri na Wilaya ya utoaji na usimamizi wa mikopo ya asilimia (10%) kwa vikundi vya Wananwake, Vijana na Watu wenye ulemavu yanayofanyika kwa muda wa siku 3 katika Ukumbi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Iliyopo Kibaha Mkoani Pwani.

Aidha, Ndg. Mabelya ameeleza kuwa Serikali imeanza kutoa mikopo ya asilimia 10 baada ya hapo awali kusitishwa kutokana na changamoto zilizojitokeza huku akimshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kurejesha mikopo ya asilimia 10 na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuwa miongoni mwa Halmashauri zilizochaguliwa kwa awamu nyingine.

"Mnano mwezi Aprili, 2024 Mh. Rais Dk. Samia Suluhu Hassan alitangaza kurejesha tena utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kuanzia Julai 2024 kwa utaratibu wa kutumia benki kwa Halmashauri 10 za majaribio Halmashauri ya jiji la Dar es salaam ikiwa ni mojawapo hivyo niwahakikishie tu baada ya mafunzo haya nitashirikiana na watendaji wangu kuhakikisha mikopo hiyo inatolewa kwa ufanisi pia nitoe rai kwenu kuhakikisha mnawajibika katika kushiriki, utulivu na uelewa ili mkatende kwa weledi na kuongeza ufanisi na tija zaidi ili kutimiza adha ya Mhe. Rais ya kuwakwamua wananchi kiuchumi". Amesema.

Sambamba na hilo, Ndg. Mabelya ameeleza kuwa Halmashauri imepanga kutoa mikopo kwa jumla ya vikundi 360, ikiwa vikundi 150 ni vya wanawake, 150 vijana na 60 ni kwa watu wenye ulemavu ambapo jumla ya shilingi bilioni  11.8 zinategemewa kutolewa kwa vikundi hivyo na kipaumbele ni kwa miradi inayolenga matumizi ya nishati safi kwa mama lishe, kuboresha mazingira kwa wanawake wafabiashara katika masoko, kuboresha mazingira ya vijana waendesha bodaboda na bajaji na kuanzisha na kuendeleza  viwanda vya uzalishaji samani za ofisi na mashuleni sambamba na kuboresha miradi ya uzalishaji tofali na uuzaji wa vifaa vya ujenzi huku akieleza kuwa Halmashauri inaendelea kufatilia deni la  mikopo kiasi cha shilingi Bilioni 19.7 ambapo kati ya hizo jumla ya shilingi bilioni 15.9 ipo ndani ya muda wa marejesho na jumla ya shilingi bilioni 4 wapo nje ya muda wa marejesho na wanaendelea kurejesha kwa mujibu wa makubaliano mapya.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.