• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

"Watoto wote watasoma kwenye madarasa mapya" - RC Makalla

Posted on: December 12th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amewataka wazazi Jijini humo kuhakikisha wanawaandaa watoto wao kujiunga Shule ya awali, darasa la kwanza na pia kidato Cha kwanza na  kwakua Serikali imefanya Jitihada kubwa za kujenga miundombinu ya madarasa Kwa ajili ya wanafunzi kupata Elimu bora .

Mhe. Makalla ameyasema hayo alipofanya  Ziara ya ukaguzi wa Maendeleo ya Ujenzi wa  vyumba vya Madarasa 310 vinavyojengwa katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambapo jumla ya shilingi bilioni 6.2 zimetolewa Kwa ajili ya Ujenzi wa Madarasa hayo .

Aidha, Mhe. Makalla  amemshukuru Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa nia yake ya kuondoa kero ya upungufu wa Madarasa ambao utaondoa kero ya Michango Kwa wazazi ambapo Mkoa wa Dar es Salaam umewezeshwa jumla ya shilingi Bilioni 12 Kwa Ajili ya Ujenzi wa Madarasa hayo.

"Miaka Yote Kila inapofika Mwisho wa Mwaka tumekua Kama zimamoto kutafuta Fedha  za Kujenga Madarasa lakini Mwaka Jana na Mwaka huu Dkt. Samia ametuondolea changamoto hiyo Kwa kutupa Fedha

“Naipongeza Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Chini ya Kaimu Mkurugenzi . Nimeridhishwa sana kuona Kati ya vyumba 310 vinavyojengwa Mpaka Sasa Kuna vyumba 220 vipo hatua yya uwezekaji Hongereni Sana " alisema Mhe.  Makalla

Awali akiwasilisha taarifa ya Maendeleo ya  Ujenzi, Kaimu Mkurugenzi  wa Jiji Mhahindisi Amani Mfuru  amesema kuwa Idadi ya wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga Shule ya awali ni 5700, darasa la kwanza 25, 400 huku kidato cha kwanza wanafunzi 30,500 .

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.