• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Watumishi Jiji waadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kutembelea mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi Mbezi Luis

Posted on: June 22nd, 2020

Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni, 2020 katika kuhitimisha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma watembelea ujenzi wa miundombinu ya Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani katika eneo la Mbezi Luis jijini Dar es Salaam.

Katika ziara hiyo watumishi wamepata fursa ya kujionea hali ya utekelezaji wa mradi huo ambao ujenzi wake ulianza Januari, 2019 na hadi sasa umefikia asilimia 70 ya utekelezaji wake.

Ujenzi wa mradi wa kimkakati wa stendi ya mabasi katika eneo la Mbezi Luis ni juhudi za Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli katika kuboresha sekta ya usafiri na usafirishaji jijini Dar es Salaam ambapo Serikali Kuu imeipatia Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam fedha kiasi cha Shilingi za Kitanzania bilioni 50.9 kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Mbezi Luis.

Watumishi hao pia wamepata fursa ya kutembelea Kituo cha kulea na kuwahifadhi wazee kilichopo Nunge katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni na kutoa msaada mbalimbali ikiwemo vyakula, sukari, sabuni, mafuta ya kupikia, mafuta ya kupaka ngozi, maji na mashuka.

Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma husheherekewa mwezi Juni kila mwaka na kauli mbiu ya mwaka 2020 ni: “JUKUMU LA UTUMISHI WA UMMA KATIKA KUJENGA NA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO MIONGONI MWA JAMII”

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.