• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Waziri Jafo ataka Maafisa Biashara kuheshimiwa

Posted on: August 20th, 2025

Na: Shalua Mpanda - Tanga

Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Dkt. Selemani Jafo amefungua mkutano mkuu wa nne wa Chama Cha Maafisa Biashara Wanawake Tanzania (TAWTO) unaofanyika hoteli ya Kiboko mkoani Tanga.

Akifungua mkutano huo leo Agosti 20,2025, Mhe. Jafo ameonesha kuchukizwa na baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kutowapa kipaumbele maafisa biashara katika kutekeleza majukumu yao ya kazi.

Akijibu risala ya Mwenyekiti wa Chama hicho Bi. Elizabeth Swagi aliyetoa ombi kwa Waziri Jafo kuhusu  vitendea kazi hasa kukosekana kwa magari kwa maafisa biashara hao, Waziri huyo wa Viwanda na Biashara amesema sio sawa kwa maafisa biashara kutokuwa na usafiri wa kwenda kufanyia kazi zao ukizingatia wao ndio wakusanyaji wakubwa wa mapato ya Halmashauri.

"Hili nalichukua kwa uzito mkubwa na tutashirikiana na TAMISEMI kuhakikisha maafisa biashara kote nchini wanapata magari ya kuwawezesha kufanya kazi zao, haiwezekani wakuu wengine wa Idara wanakuwa na magari na hawa wanaowezesha Halmashauri kupata mapato, hawana magari". Alisema

Awali akimkaribisha Waziri Jafo, Mkuu wa mkoa wa Tanga Dkt. Batilda Burian amemueleza Waziri huyo kuwa Mkutano huo wa maafisa biashara wanawake Tanzania utaleta chachu ya utendaji kazi kwa maafisa hao.

Mkutano huo mkuu wa nne wa Chama hicho una kauli mbiu isemayo "Mwanamke mpambanaji ni nguzo ya Maendeleo,Tushiriki vyema Uchaguzi Oktoba 2025".

Announcements

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2025 July 08, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA February 28, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • Dar City yaendeleza ubabe SHIMISEMITA, yatinga fainali Volleyball (KE)

    August 27, 2025
  • Dar City yaibuka kinara mashindano ya Kwaya SHIMISEMITA 2025

    August 25, 2025
  • Wanamichezo SHIMISEMITA watakiwa kutumia michezo kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura

    August 23, 2025
  • Dar City tu yang'ara mbio za vijiti, yachukua nafasi yakwanza

    August 23, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.