Posted on: November 7th, 2017
Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi ulioandaliwa na taasisi ya Engagement Global ya Ujerumani kwa miji washirika kutoka nchi mbalimbali duniani umeanza leo tarehe 07 Novemba, 2017 alasiri...
Posted on: October 7th, 2017
Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam wameadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kutoa msaada wa vifaa 40 vya kuhifadhi taka kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba...
Posted on: October 5th, 2017
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo tarehe 05 Oktoba, 2017 amekutana na kufanya mazungumzo na ugeni kutoka Taasisi ya mtandao wa Majiji zaidi ya 90 duniani inayoshughulika na namna ...