Posted on: June 1st, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul C. Makonda amekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo mapema leo asubuhi baada ya kukaa ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam &...
Posted on: May 29th, 2017
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka huu Ndg. Amour Hamad Amour leo tarehe 29 Mei, 2017 amezindua Mradi wa Maboresho ya Mtaa wa Samora Jijini Dar es Salaam katika Manispaa ya Ilala jijini...
Posted on: May 26th, 2017
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene (Mb) leo tarehe 26 Mei, 2017 akiwa ameongozana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mhe. Isaya Mwita ...