Posted on: December 7th, 2017
Jiji la Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji 10 duniani ambayo yamepata tuzo ya C40 Bloomberg Philanthropies 2017 kupitia Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka.
Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka unawahudum...
Posted on: November 21st, 2017
Jiji la Dar es Salaam na Ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania wamesaini Hati ya makubaliano ya awali ya kufanya upembuzi yakinifu wa kuweka miundombinu ya kudhibiti taka ngumu katika maeneo mbalimbali ...
Posted on: November 14th, 2017
DAR ES SALAAM na Hamburg zimefungua ukurasa mpya wa uhusiano wao wa Miji Dada kwa kusaini mkataba mpya wa uhusiano kati yao. Mkataba huo umesainiwa Novemba 14, mwaka huu katika Jiji la Hamburg na Msta...