Posted on: April 24th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo, amefanya uzinduzi wa Wiki ya Chanjo mapema leo katika Kituo cha Afya Kitunda kilichopo Kata ya Kitunda.
Uzinduzi huo uliofanyika leo ni wa chanjo ya pol...
Posted on: April 18th, 2023
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 18 Aprili, 2023 imepokea mashine mia nne [400] za ukusanyaji wa mapato 'POS Machines' kutoka kampuni ya SSV Global Solutions ambazo zitawawezesha ...
Posted on: April 14th, 2023
Wazazi na Walezi wametakiwa kuzingatia lishe ya watoto ili kupata mlo kamili ambao unasaidia katika kujenga, kulinda na kuimarisha afya zao na kuepuka kushambuliwa na maradhi.
Wito huo umetolewa ...