JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

Karibu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Karibu kwenye tovuti rasmi ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, ambapo utapata taarifa mbalimbali kuhusu majukumu ya Halmashauri ya Jiji katika kuratibu na kusimamia madaraka na majukumu ya Mamlaka zote za Serikali za Mitaa zilizopo Dar es Salaam katika masuala yanayohusu miundombinu, matumizi ya ardhi, afya, udhibiti na uzuiaji wa moto.

Tunaamini kwa kushirikiana na wadau katika maeneo tofauti tofauti ili kuweza kuleta maendeleo endelevu kwa wananchi wa Jiji la Dar es Salaam. Kwa kulitambua jambo hilo Halmashauri ya Jiji la Dar es Sala... Soma Zaidi →

HABARI MPYA

News Thumb here

Ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mkoani Ubungo

Mkurugenzi wa Jiji, Sipora J. Liana katika ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Kituo cha Mabasi UbungoSoma Zaidi →

Posted today
News Thumb here

Ziara ya mafunzo ya viongozi 300 wa Jumuiya ya Mamlaka za Miji nchini Uganda

Viongozi 300 wa Jumuiya ya Mamlaka za Miji nchini Uganda (Urban Authorities Association of Uganda (UAAU) katika zia...Soma Zaidi →

Posted 1 month ago
News Thumb here

Kikao cha Menejimenti ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika kikao cha Timu ya Menejimenti ya Ha...Soma Zaidi →

Posted 1 month ago

Habari Nyingine →

MATUKIO YA KARIBUNI

Tangazo la nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Tarehe: 07 September, 2016 Mpaka 30 September, 2016

Mahali: City Hall

Muda: 08:00 - 15:30

Maelezo Ya Tukio:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wakazi wa Dar es Salaam wenye sifaSoma Zaidi →

Tangazo la nafasi za kazi

Tarehe: 01 June, 2016 Mpaka 19 June, 2016

Mahali: City Hall

Muda: 08:00 - 15:30

Maelezo Ya Tukio:
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kwa nafasi zifuatazo:Soma Zaidi →

Kuwasilisha Taarifa kwa ajili ya malipo kwa mfumo wa TISS

Tarehe: 31 March, 2016 Mpaka 30 April, 2016

Mahali: City Hall

Muda: 08:00 - 15:00

Maelezo Ya Tukio:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anapenda kuwajulisha wadau wote kwamba kuanzia mwezi Aprili, 2016 Soma Zaidi →

Matukio Zaidi →