JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

Tarehe: 02 November, 2015

Mahali: City Hall

Muda: 09:00 a.m - 03:00 p.m

Maelezo Ya Tukio:

 

HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

 

TANGAZO

 

HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WALIOJAZA FOMU ZA MAOMBI YA KUFIKIRIWA KUPEWA VIWANJA KATIKA MAENEO YA KIMBIJI NA MWASONGA - KIGAMBONI (TEMEKE) WAFIKE OFISI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANGALIA MAJINA YAO KAMA WAMEPATA AWAMU YA KWANZA AU WAMEPENDEKEZWA KUPATA AWAMU YA PILI.

 

ATAKAYEONA JINA LAKE AMEPATA KATIKA AWAMU YA KWANZA AENDE OFISI YA MRADI WA VIWANJA KUCHUKUA ANKARA YA MALIPO NA KUPEWA MAELEKEZO YA JINSI YA KUFANYA MALIPO.

 

MUDA NI KUANZIA SAA 3:00 ASUBUHI HADI SAA 9:00 ALASIRI.

 

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA;

 

RACHEL A. KADUMA

Kny: MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM