Ili kuweza kushiriki Mikutano ya Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji na kupata taarifa mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ndani ya Jiji tembelea tovuti ya Jiji ili kupata matangazo mbalimbali ya ratiba ya Mikutano hiyo.
Pia unaweza kupata taarifa mbalimbali za kupitia ukurasa wetu wa mtandao wa kijamii wa Facebook unaopatikana kupitia anuani Dar es Salaam City Council pamoja na kusikiliza matangazo kupitia redio ya Jiji (City FM Redio) inayopatikana kupitia masafa ya 91.7 MHz
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 9084
Simu ya mezani: +255 22 2123346
Namba ya Mkononi: 0715046974
Barua Pepe: cd@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.