Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ina mipango ya kujenga Hostel ya kisasa katika eneo lake la ADA Estate. Mradi utakuwa na jengo lenye ghorofa moja na vyumba vipatavyo 60. Mradi unatarajiwa kugharimu Tsh. 1.8 Bilioni. Mradi utazalisha mapato kiasi cha Tsh. 900 Milioni kwa mwaka.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.