Tarehe iliyowekwa: December 28th, 2020
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kusimamia ujenzi wa stendi mpya na ya kisa...
Tarehe iliyowekwa: December 24th, 2020
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limetoa mafunzo kwa wajasiriamali kutoka vikundi vya wakina mama 88, vijana 36 pamoja na vikundi vya watu wenye ulemavu 36 kutoka katika Wilaya 5 za Jiji la ...
Tarehe iliyowekwa: December 23rd, 2020
Jumla ya Waheshimiwa Madiwani 21 kati ya 26 wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 23, 2020 wameapishwa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive Mheshimiwa Anipha A. Mwin...